Tuesday, July 26, 2011

 

MUIGIZAJI NIGERIA....KU-SHOOT MOVIE KENYA....!


Muigizaji wa NollyWood toka Nigeria,Rita Dominic yuko Kenya kwa sasa ku-shoot movie nchini Kenya chini ya Dream House Productions
Kwa mujibu wa management company yake,BigSam Media imefunguka kuwa Rita atashiriki kwenye movie iitwayo Shattered na production itaanza rasmi tarehe 1 August,2011 chini ya directer Gilbert Lukalia na producer muasisi wa Dream House Productions,Carol Nguta
Rita Dominic kwa ni actress anayeheshimika sana barani Africa na duniani kote,na inasemekana kuwa ameshapata shavu la kuigiza kwenye zaidi ya movie 100 za Nollywood na kutokana na ukali wake aliwahi kutajwa kuwa anastahili kuwa Balozi mwema wa Umoja wa Mataifa aka UN Goodwill Ambassador

No comments:

Post a Comment