Wednesday, July 20, 2011

VISION RADIO CREW

Matrida Leopord akiwa kwa mjengo akiendelea na shughuli za kuelimisha jamii,hapa ni katika kipindi cha uhakika wa mambo kilichopo kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa ,redio vision fm 




       check out!  huyu ni  MR TIME akijalibu kuwaongeza mtazamo watanzania kupitia                                                                                   98.0 VISION FM



Hey rasta man are u there,its me amaizing results from vision radio ,rasta say yes!!. Kutana nami katika kipindi cha rege kila ijumaa saa tatu kamili hadi saa tano kamili usiku,na jumapili saa kumi kamili jioni hadi saa kumi na mbili kamili jioni,says VALELIAN RUGALABAMU,All we need is love rasta!!!

No comments:

Post a Comment