Wednesday, August 10, 2011

AJABU NA KWELI






  
Mtu mrefu kuliko wote duniani, Mturuki, Sultan Kosen na mtu mfupi kuliko wote duniani He Pingping toka China kwa mara ya kwanza walifanikiwa kukutana mbele ya waandishi wa habari nchini Uturuki.  
     
   
More news in photos

No comments:

Post a Comment