Friday, July 15, 2011

THE BASH

ujio mpya wa THE BASH. kutana na DJ CASH kila juma tatu mpaka ijumaa ndani ya show ya THE BASH kutakuwa na mambo mapya kamavile story kali za mastaa kutoka nje ya nchi na ndani ya TZ. ngoma mpya zitatambulishwa kila siku so usikose mtuwangu ku tune 98.0 VISION FM.

 
Michahakato na mpangilio wa maisha nimuhimu kwa kila asikilizaye The Bash  japo matumaini na uvumilivu nikitu muhimu kwa mafanikio zaidi.

No comments:

Post a Comment