| Hivi ndivyo inavyoonekana sanamu ya MAYUNGA katika uwanja wa MASHUJAA baada ya kufanyiwa | ukarabati |

Picha ya juu inamwonyesha mchezaji wa AZAM FC na Timu ya Taifa MRISHO NGASA akigombea mpira na beki wa MAN U ,Fabio. katika mchezo wakirafiki. Ngasa yupo kwenye majaribio katika club ya GEATTLE ya Marekani.
David beckam amefanikiwa kupata mtoto wakike aliyempatia jina la up7. Beckam amesema ameamua kumpa jina hilo kutokana na number ya jezi yake aliyokuwa akitumia wakati yupo man u.wakati huo huo victoria mkewe Beckam amesema hayupo tayari kuendelea kumzalia mchezaji huyo kwamaana hiyo up7 ndiye atakuwa mtoto wa mwisho wa Beckam.

No comments:
Post a Comment